Ufugaji [Sekta ya Mifugo Tanzania

Waziri Nchemba afanya ziara ya kushtukiza usiku machinjio ya Ukonga Mazizi, Dar

Mwigulu 2 300x202 Waziri Nchemba afanya ziara ya kushtukiza usiku machinjio ya Ukonga Mazizi, Dar

Ziara ya kushtukiza ya  Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba katika machinio ya Ukonga Mazizi Dar ulifanywa usiku wa Feb 11 2016. Lengo la safari hiyo lilikuwa  ni kupambana na kuwakamata wanaohujumu kodi pamoja na mapato ya serikali. Kilichotekea katika safari hiyo ni kutolewa kwa amri ya kuwatafuta na kuwafungulia mashtaka wale wote waliohusika na upotevu wa mapato pamoja na kumsimamisha kazi Mkurugenzi. Zaidi fuatilia VIDEO YA TUKIO lenyewe hapaHAPA.

Mwigulu 5 300x169 Waziri Nchemba afanya ziara ya kushtukiza usiku machinjio ya Ukonga Mazizi, Dar Mwigulu 3 300x199 Waziri Nchemba afanya ziara ya kushtukiza usiku machinjio ya Ukonga Mazizi, Dar

 

CHANZO: Millardayo.com na Tanzaniatoday.co.tz

 

Leave a Reply

error: Omba kibali cha kunakili !!