You dont have javascript enabled! Please download Google Chrome!

JUKWAA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA

NDUGU wadau wa mifugo na watembeleaji wa jukwaa hili, mnataarifiwa kuanzishwa kwa jukwaa (forum) la kilimo na mifugo linalopatikana katika Tovuti hii  http://www.jukimita.co.tz/ na kwenye app ya Tapatalk inayopatatina google play store na apple store. Kujiunga ni rahisi nenda kwenye tovuti (forum) ya jukwaa (http://jukimita.co.tz/) mwanzoni kabisa kuna mstari wa blue utaona maneno log in au sign up, gonga hapo utaweza kujiunga na jukwaa au upande wa kulia pia utaona maneno sign up now!. Pia unaweza kujiunga kwa kupitia Tapatalk app, download, install na jiunge kisha search jukimita basi utaona jukwaa la kilimo na mifugo ambalo unaweza kujiunga na ku post kulingana na mada husika. Karibuni sana na mkaribishe na mwingine ajiunge kwa kushare kupitia facebook, twitter na google plus zilizopo upande wa kulia mwa jukwaa.

Leave a Reply

error: Alert: Imezuiliwa !!
%d bloggers like this: