You dont have javascript enabled! Please download Google Chrome!

KUJIUNGA NA JUKWAA LA KILIMO NA MIFUGO TANZANIA (JUKIMITA) MTANDAONI

Ndugu wadau wa kilimo na mifugo, napenda kuwakumbusha kuwa tuendelee kujiunga kwenye jukwaa letu la kilimo na mifugo Tanzania (JUKIMITA) mtandaoni (FORUM) inayopatikana hapa  http://jukimita.co.tz/ na kwenye app yetu inayopatatina google play store na apple store kwa jina la JUKIMITA. Kujiunga ni rahisi nenda kwenye tovuti (forum) ya jukwaa (http://jukimita.co.tz/) mwanzoni kabisa mstari wa blue utaona maneno log in au sign up, gonga hapo utaweza kujiunga na jukwaa au upande wa kulia pia utaona maneno sign up now. App yetu nenda google play store au app store kisha tafuta kwa kuandika neno JUKIMITA. Hili ni jukwaa kubwa na la kipekee kuwahi kutokea nchini litakalowaunganisha wadau wote wa kilimo na mifugo nchi nzima na nchi nyingine ukanda wa Afrika Mashariki.  Karibuni sana.

NB: Unaruhusiwa kusambaza tangazo hili kwa makundi mengine ya whatsapp, telegram au facebook, twitter, google plus na mitandao mingine. Asante.

Leave a Reply

error: Alert: Imezuiliwa !!
%d bloggers like this: