App ya Tovuti ya Ufugaji inapatikana Google Play store bure

ByChengula

Mar 27, 2018

Ndugu wadau wa mifugo na wafuatilia wa Tovuti ya Mifugo, sasa unaweza kusoma machapisho yote ya tovuti hii kupitia simu yako ya kiganjani kwa njia ya app inayopatikana Google Play store bila malipo. Mshirikishe na mwenzako naye apate elimu ya ufugaji wa mfugo anaoupenda bure kupitia app hii. Unaweza kuifikia app yetu iliyopo play store kupitia kiunganishi hiki   APP YA UFUGAJI

Leave a Reply