Elimu ya ufugaji bora wa samaki
1.Mambo yakuzingatia wakati wakuchagua eneo kwaajili ya ufugaji samaki. Aina ya udogo: hili nijambo muhimu kwani aina ya udogo huathiri kwenye kuchagua aina gani ya bwawa litumike. Tambua kuwa kuna…
1.Mambo yakuzingatia wakati wakuchagua eneo kwaajili ya ufugaji samaki. Aina ya udogo: hili nijambo muhimu kwani aina ya udogo huathiri kwenye kuchagua aina gani ya bwawa litumike. Tambua kuwa kuna…
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo:- UMRI WA…
Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogo wadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogo wadogo, wanaotumia njia za kiasili…
UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya…
Jifunze namna ya kufuga samaki kwenye ziwa kwa kutmia kizimba hatua kwa hatua kupitia video hii
Na Martin Mhina Nigusie mbinu kadhaa za ufugaji bora wa kuku (a) Jinsi ya kutengeneza mchwa ili kupata protini ya ziada Fuata hatua zifuatazo 1: Changanya kinyesi kikavu cha ngo’mbe…
Kuku wanahitaji kujengewa banda ili wasiathiriwe na madhara mbali mbali kama wanyama wakali, wezi na mabadiliko ya hali ya hewa. Vile vile banda bora hurahisisha kazi ya utunzaji. Mahali pa…
Na Daniel Mbega BINAFSI nimezaliwa katika jamii ya wafugaji ambayo ulaji wa nyama, hasa ya mbuzi, ni sehemu ya maisha. Nakumbuka tangu nikiwa mdogo wakati tunaishi kwenye maboma porini mwanzoni…
Mojawapo ya maswali yanaulizwa na wafugaji wengi wa samaki ni pamoja na swala la maji yaliyomo ndani ya bwawa. Maswali yanayoulizwa ni kama yafuatayo Maji yanayofaa kwa ufugaji wa samaki…
Huu ni utafiti ulifanywa na C.Kiswaga, E.L. Mayenga (wa Halmashauri ya wilaya ya Same), F.V. Silayo (wa Halmashauri ya Korogwe mjini) na E.S.Swai (kutoka Wakala wa Maabara za Mifugo Tanzania,…
Na Augustino Chengula Utangulizi Minyoo bapa ni minyonyoo yenye urefu wa kuanzia midogo milimita moja hadi mirefu ya milimita 7. Kinachowatambulisha kwa urahisi ni uwepo wa vifyonzeo vya damu viwili,…
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kujenga nyumba ya vifaranga Unapo jenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua…
SIFA ZA JOGOO NA TETEA BORA 1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa…
Sifa za banda bora la Kuku Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa.…
UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na…
Mbuzi na kondoo wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu na kuishi katika mazingira magumu kama ya maradhi na ukame ikilinganishwa na ng’ombe. Kutokana na umbile lao dogo wanaweza kufugwa katika eneo…
Wakati wa kufuga ni muhimu kuku wapate sehemu ya wazi wanayoweza kutembea kwa uhuru. mfugaji mwenye lengo la kufuga kuku wengi wenye umri mmoja na kupata mayai mengi au aweze…
A. Upotevu wa kijusi kwa ng’ombe Imeeandikwa na Mhadhiri Dr. H. E. Nonga wa Chuo cha Sayansi ya Tiba ya Wanyama na Binadamu, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kilichopo…
Imeeandikwa na watafiti B. A.Temba, F.K.Kajuna, G.S.Pango na R Benard kuchapishwa kwenye jarida (journal) la Livestock Research for Rural Development toleo la 28 (1) la Januari 2016 kwa lugha ya…