Emax pro feed: kirutubisho kisicho na kemikali kwa ajili ya mifugo na mimea

EMAX PRO NI NINI?

Emax pro feed ni kirutubisho kisicho na kemikali kwa ajili ya mifugo,mimea na kurekebisha mazingira.
Emax imetengenezwa kwa Lactic acid bacteria (Lactobacillus spp)
Yeast (sacchromyces spp)
Photosynthesic bacteria (Rhodopseudomonaspp)
Actinomycetes na fementing fung….
Ina madini muhimu kwa mifugo pamoja na mimea.Haina kemikali…ni organic pia rafiki kwa mazingira.

FAIDA YAKE:
Kwa mifugo inaongeza kinga dhidi ya magonjwa,inaboresha ubora wa nyama hasa kwa broiler, kwa kuku wa mayai,Layers husaidia kuboresha kaa pia kiini cha yai kufanyika njano kama kienyeji,kwa ngombe inaboost maziwa.
Kwa kilimo kuongeza mazao,kupambana na wadudu waharibifu…pia kwa walima mboganboga inasaidia kwakula mboga zisizo na kemikali.

MATUMIZI:
Mls 20 kwa kila Lita 10 za maji,mifugo wanywe,au kumwagilia katika mimea…pia yaweza kutumika kwa kuozesha samaji au mboji ikawa na nguvu kama zile za viwandani.kiasi hicho chaweza pia kusafishia mabanda kuindoa harufu na wadudu wanaoluka mabandani…
Bei ni chupa moja ya Ml.500 au nusu Lita ni Tshs 3,500.Lita 5 15,500,Lita 20 kwa 65,000.

MAWASILIANO:
0688383194,0759868514.
Mr Innocent Nyoni.

Leave a Reply