MCHANGANYIKO WA CHAKULA CHA LAYERS KUANZIA MWENZI WA KWANZA HADI KUTAGA

Na Sefania Kajange:

MWENZI WA 1-2 (Chick mash)

Kiini lishe Uzito (kg)
Mashudu 17
Mahindi 20
Pumba 43
Dagaa 15
Chokaa 2
Konokono 2
Chumvi 0.5
Premix 0.25
Jumla 100

 

MIENZI 3-4 (Growers mash)

Kiini lishe Uzito (kg)
Mashudu 12
Mahindi 10
Pumba 60
Dagaa 10
Chokaa 3
Konokono 4
Chumvi 0.5
Premix 0.25
Jumla 100

 

MIENZI 4 NA KUENDELEA (Layers mash)

Kiini lishe Uzito (kg)
Mashudu 15
Mahindi 20
Pumba 42
Dagaa 10
Chokaa 7
Konokono 5
Chumvi 0.5
Premix 0.25
Jumla 100

 

Hii ni kwa mchanganyo sahihi lakini pia unashauriwa kununua chakula cha dukani na kutokana na kuwa kuna uwezekano wa kuchanganya tofauti hivyo unaweza usifkie malengo katika ufugaji.

🙏🇹🇿✍

Fuga KIBIASHARA kwa MALENGO timiza NDOTO yako.

Leave a Reply