LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
Ugonjwa ni nini? Ugonjwa ni mabadiliko kutoka katika afya ya kawaida ya mnyama/kuku. Hali hii hutokea pale vimelea au vijidudu vinapoingia mwili wa mnyama, kwa kula vyakula vyenye sumu, au…
*Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.*Kinakachofanyika katika…
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo:- UMRI WA…
UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya…
Na Martin Mhina Nigusie mbinu kadhaa za ufugaji bora wa kuku (a) Jinsi ya kutengeneza mchwa ili kupata protini ya ziada Fuata hatua zifuatazo 1: Changanya kinyesi kikavu cha ngo’mbe…
Kuku wanahitaji kujengewa banda ili wasiathiriwe na madhara mbali mbali kama wanyama wakali, wezi na mabadiliko ya hali ya hewa. Vile vile banda bora hurahisisha kazi ya utunzaji. Mahali pa…
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kujenga nyumba ya vifaranga Unapo jenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua…
SIFA ZA JOGOO NA TETEA BORA 1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa…
Sifa za banda bora la Kuku Banda bora la kuku linatakiwa kuwa kama ifuatavyo: Liwe jengo imara Pasiwe na sehemu zilizo wazi kwenye msingi na kati ya ukuta na paa.…
Wakati wa kufuga ni muhimu kuku wapate sehemu ya wazi wanayoweza kutembea kwa uhuru. mfugaji mwenye lengo la kufuga kuku wengi wenye umri mmoja na kupata mayai mengi au aweze…
Imeeandikwa na watafiti B. A.Temba, F.K.Kajuna, G.S.Pango na R Benard kuchapishwa kwenye jarida (journal) la Livestock Research for Rural Development toleo la 28 (1) la Januari 2016 kwa lugha ya…
Ndege wa kufuga ni kama vile kuku, bata, batamzinga, kanga na bata bukini. Kuku hasa ndio wanaofugwa zaidi. Watu wengi hufuga kuku wa kienyeji ambao huachiliwa kuzurura wakijitafutia chakula. Ingawa…
Umri (Wiki) Kiasi (gramu) Kiasi kwa kuku 100 (Kilo) 1 12-15 1.2-1.5 2 15-21 1.5-2.1 2 21-35 2.1-3.5 4-6 35-50 3.5-5.5 7-8 55-60 5.5-6.8 8-16 60-68 6.8-7.5 16-27 68-80 7.5-9.0…
Na Mkulimastar Upungufu wa vitamini hujionyesha kwa namna tofauti katika miili ya kuku, na kila dalili huashiri upungufu wa vitamin. Sio kila ugonjwa unao uona katika kuku, kanga, na hata…
Watu wengi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Na Erick Joseph LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike…