Namna uhamilishaji (Artificial Insemination) inavyofanyika NAIC Arusha

Video hii inaonyesha namna uhamilishaji (A.I) unavyofanyika pale NAIC (National Artificial Insemination Centre) Arusha. Video hii itakufundisha maana ya uhamilishaji, historia ya uhamilishaji Tanzania na namna uhamilishaji unavyofanyika na umuhimu wake kwa mfugaji na aina za madume yanayotumika kukusanya mbegu. Ni muhimu uangalie video hii utajifunza mengi ndugu mfugaji.

Leave a Reply