Mahitaji ya ng’ombe ili aongeze maziwa
Na Mkulima Mbunifu Wape ng’ombe wako lishe kamili, yenye nguvu, protini, na vitamin pamoja na maji ya kutosha. Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa…
Ufugaji wa samaki hatua kwa hatua: Hatua ya tatu
Na Farida Mkongwe HATUA YA 3: UANDAAJI NA UPANDIKIZAJI WA VIFARANGA VYA SAMAKI Katika hatua hii ya tatu tutaangalia uandaaji na upandikizaji wa vifaranga au mbegu za samaki katika bwawa.…
Mambo muhimu ya kuzingatia unapotunza vifaranga
Kwa karne na miaka mingi, ufugaji wa kuku imekuwa ni kazi muhimu na inayokubalika katika jamii nyingi. Ni kazi isiyohitaji gharama kubwa sana, ambayo imekuwa na mafanikio kwa kiasi kikubwa…
Ufugaji wa samaki hatua kwa hatua: Hatua ya pili
Na Farida Mkongwe HATUA YA 2: UCHIMBAJI WA BWAWA Katika hatua hii ya 2 ambayo ni uchimbaji wa bwawa, jambo la kwanza la kuangalia ni vipimo. Kimsingi kwa mujibu wa…
Kondoo wakifugwa kisasa wana faida kubwa na huongeza kipato
Na Mkulima Mbunifu “Katika eneo letu, idadi ya wafugaji wa kondoo imepungua sana, wakati idadi ya wanohitaji imeongezeka hasa raia wa kigeni, na bei iko juu. Naomba maelezo namna ya…
Ufugaji wa samaki hatua kwa hatua: Hatua ya kwanza
Na: Farida Mkongwa HATUA YA 1: SIFA ZA ENEO ZURI LA KUFUGIA SAMAKI Katika sehemu hii tunaangalia ufugaji wa samaki hatua kwa hatua na katika hatua ya kwanza tunaangalia sifa…
Jinsi ya kuzuia kuku wako wasipate magonjwa
Na Mkulima Mbunifu Ufugaji wa kuku una faida kubwa, lakini mkulima anatakiwa kuzuia kadri awezavyo uwezekano wa kuwepo magonjwa shambulizi. Wafugaji wengi wamekuwa wakiwekeza katika ufugaji wa kuku. Ufugaji huo…
Zijue tofauti za ufugaji samaki wakati wa kiangazi na wakati wa masika
Na: Farida Mkongwe “Kimsingi hakuna tofauti kubwa wala athari kubwa sana za ufugaji wa samaki wakati wa kiangazi ukilinganisha na wakati wa masika, tofauti zilizopo ni ndogo ndogo ambazo kitaalamu…
Magonjwa ya kuku, Tiba na Kinga
1) Ugonjwa wa Mdondo Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo…
Zijue mbinu muhimu za kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki
Na Farida Mkongwe Ufugaji upo wa aina nyingi, katika mfululizo wa makala hizi tutaangalia ufugaji wa samaki na kwa kuanzia tutaangalia mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa…
Zaidi ya Nguruwe 2,000 wafa kwa ugonjwa wa Homa ya Nguruwe Nyamagana
Na gazeti la Mwanachi
Fuso lilikuwa limebeba Nguruwe limegongana na Lori maeneo ya Vigwaza
Gari aina ya FUSO lilikuwa limebeba Nguruwe likielekea Dar es Salaam limegeongana na Lori (Semi trailer) lililokuwa limebeba vifaa vya aina mbalimbali maeneo ya Vigwaza. Ajali hiyo imesababisha vifo vya…
Ujue ugonjwa wa Homa ya Nguruwe
Na Augustino Chengula Ugonjwa wa homa ya nguruwe unaojulikana kwa kitaalamu kama African Swine fever (ASF) unasababishwa na virusi vijulikanao kwa kitaalamu kama African Swine fever virus. Homa ya nguruwe…
Mapigano ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero yaibuka tena na kuua ng’ombe 79 na mtu mmoja
Wapiganapo fahari wawili ziumiazo ni nyasi unaweza kusema kutokana na mauaji ya kikatili ya ng’ombe wilayani Mvomero. Pia unaweza kusema ni kupima upepo wa Waziri mpya wa Kilimo, Mifugo na…
Aina bora za ng’ombe wa maziwa, banda na namna ya kuanza ufugaji
Na Mkulima Mbunifu Uzalishaji wa maziwa ni biashara nzuri sana na ya kuvutia ambayo huwa na faida nyingi na humfanya mfugaji kuridhika hasa kwa yule anayependa kazi hii. Hata hivyo,…
Ufugaji wa kuku kwa njia ya kisasa: Utagaji na uatamiaji wa mayai
Na Majumbeni Utagaji na uatamiaji wa mayai: Kuku huanza kutaga wakiwa na umri wa majuma 22-32 baada ya kuzaliwa kutegemeana na ukoo, afya na lishe. Kwa kawaida kuku wa kienyeji…
Shubiri mwitu tiba ya magonjwa ya kuku
Na Mkulima Mbunifu Kuku ni moja ya miradi inayofanywa kwa wingi na watu wa kada mbalimbali, wakiwamo wakulima na wafugaji, na wanaofanya shughuli nyinginezo. Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili…
Ujue Ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa (HBU)
Na Mwandish wetu Augustino Chengula Utangulizi Waliokuwepo mwaka 2007 nchini wakiwa na umri wa kuelewa mambo bila shaka watakuwa hawajasahau ugonjwa uliopelekea kuzuliwa kula nyama maeneo mengi ya nchi. Hofu…



