Utunzaji bora wa kuku wa kisasa
Kuku wa kisasa ni kuku maalum ambao wamezalishwa kwa madhumuni ya nyama au kutaga mayai. Ufugaji wa kuku wa kisasa unahitaji utaalamu maalumu. Uzalishaji wa kuku hawa-huweza kufanywa na mfugaji…
Ugonjwa wa Ndui kwa Kuku (Fowlpox)
Na Mwandishi Wetu Augustino Chengula Ndui ya kuku ni nini? Ndui ya kuku ni ugonjwa unaowapata kuku na bata ukienezwa na virusi wajulikanao kwa jina la kisayansi kama fowl pox…
Zijue mbinu za ufugaji wa kuku wa kienyeji
Na Kubota Kuna maandiko mengi ya ufugaji Kuku wa Kienyeji! Nawasilisha kwenu mbinu ambazo kwa mikono yangu nimezitumia kutatua changamoto za kuku wa kienyeji! Nimeandika kuwalenga wajasiliamali ambao hawana nguvu…
Ufugaji wa samaki
Tasnia ya ufugaji wa samaki inajumuisha ukuzaji wa viumbe vya kwenye maji (bahari na maji baridi) katika mazingira tofauti na yale ya asili. Lengo kuu ni kukuza kwa muda mfupi…
Nini cha kuzingatia unapoendesha mradi wa mayai
Iili kufanikiwa kufikia malengo ya kufuga kuku wa mayai ni vyema mfugaji akapata wasaa wa kujiuliza maswali kadhaa ili awe na dira sahihi ya kile anachotarajia kufanya kutokana na mapato…
Ufugaji bora wa kuzuia lava hatari wa nguruwe na anaye athiri binadamu
Gonga kiunganishi hiki Ufugaji bora wa kuzuia lava hatari wa nguruwe na anaye athiri binadamu kupata maelezo yake kwa kina.
Ufugaji wa kisasa vijijini unawezekana
Kuna wafugaji wengi tu wenye imani/dhana kwamba ufugaji wa kisasa vijini hauwezekani kulingana na utunzaji wake. Mfano huu wa Bwana Aidan Paulus wa huko Mbinga utatupa fundisho zuri tu wafugaji…
Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mmoja kati ya madume ya Ngombe wa nyama aina ya Borani yanayofungwa katika Rushu Ranchi Afisa habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Fatma akijitambulisha kwa Wadau…
Ufugaji wa kisasa utasaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa
Heifer yapania kuongeza uzalishaji wa maziwa nchini Na THEDDY CHALLE “INGAWA Tanzania kuna ng’ombe wengi upungufu wa maziwa ni mkubwa kwa sababu idadi kubwa ya wafugaji bado wanafuga ng’ombe wa…
Namna bora ya kuhifadhi mbegu za samaki na uzalishaji wa vifaranga
Kuhifadhi mbegu za samaki kwa mzunguko mwingine Unapovuna samaki, hakikisha kuwa vifaranga au samaki wazazi utakaokuwa umewachagua wanawekwa katika kijibwawa kingine (kinachojulikana kama nursery pond) kabla ya kuwarudisha bwawa la…
Aina za mabwawa ya kufugia samaki
MABWAWA YA KUFUGIA SAMAKI Hili ni bwawa la kuchimbwa chini, lipo katika kituo cha ufugaji wa samaki cha serikali kilchopo Kingolwira mjini Morogoro. Yapo na mabwa mengine mengi kama yanavyoonekana…
Ufugaji wa Kambale kwenye mabwawa
Kambale (Ietalurus Punetaus), ni aiana ya samaki ambao wana majina mengi kulingana na eneo na jamii husika. Samaki hawa unaweza kusikia wakitajwa kwa majina mengine kama vile, kambale channel, koleo,…
Uchanganyaji wa chakula cha kuku na ulishaji wake
LISHE YA KUKU Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
Mafanikio katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa huletwa na mipango mizuri
Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Wafugaji waliofanikiwa wanafahamu fika kuwa katika uzalishaji wa maziwa 20% inatokana na aina ya ng’ombe na 80% matunzo. Watu wengi…
Ukweli kuhusu homa ya mafua ya ndege
Vipi tunaweza kujikinga na homa ya mafua ya ndege Homa ya mafua makali inaweza kumpata binadamu na ina uwezo wa kukufanya ukawa mgonjwa sana au hata kukuua. Njia rahisi ya…
Mambo muhimu ya kuzingatia ili kupunguza magonjwa ya mifugo shambani mwako
Na Mwandishi wetu Augustino Chengula Maswali mengi sana ambayo nimekuwa nikiyapata toka kwa wafugaji wengi wa mifugo ya aina mbalimbali inahusu namna ya kutibu magonjwa. Wengi wa wauliza maswali ni…
Masimulizi ya ufugaji wa ng’ombe
Na Mbega Mnyama Halima ni mtoto wa darasa la tano. Alihama kutoka Dar es Salaam kwenda shule ya Msingi Mtanana. Shule hiyo iko katika Wilaya ya Mpwapwa kama kilometa arobaini…
You must be logged in to post a comment.