SAM 2177 - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mmoja kati ya madume ya Ngombe wa nyama aina ya Borani yanayofungwa katika Rushu Ranchi
SAM 2067%2B%25282%2529%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Afisa habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Fatma akijitambulisha kwa Wadau na Washiriki
SAM 2089%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akielezea mafanikio na changamoto zilizopo katika Rushu Ranchi iliyopo Wilaya ya Kisarawe
SAM 2071%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Msajili wa Bodi ya Nyama Bi. Suzan Kiango akiongelea utunzaji wa nyama bora inapotoka machinjioni
Dkt. Herbert Lyimo Mkurugenzi wa Utafiti na Ugani akielezea tekinolojia mpya ya kielectroniki iliyoanza kutumika kusajili mifugo
SAM 2065%2B%25282%2529%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Wadau na Washiriki wa Mkuatno huo wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Dkt. Hamisi Mkuli  Idara ya Ukuzaji viumbe kwenye maji (hayupo pichani)
SAM 2082%2B%25282%2529%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Afisa Mifugo kutoka Wilaya ya Kisarawe akielezea mafanikio ya Rushu Ranchi pamoja na ushrikiano mzuri walionao na Wanakijiji
SAM 2090%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anusiata Njombe akijibu maswali yaliyoulizwa na Bw. Mapunda (hayupo pichani)
SAM 2134%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akionesha mmoja wa ngombe wa nyama
SAM 2093%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2096%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2099%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2115%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
SAM 2116%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mfugaji kutoka Wilaya ya Rufiji Bw. Gumbo Matubuki akijitambulisha kwa Wahiriki wa Mkutano huo
SAM 2122%2B%25282%2529%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Baadhi ya Ngombe Dume aina ya Borani katika Ranchi Rushu

 

SAM 2124%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2126%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2136%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2139%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anuciata Njombe akitembelea mifugo mbalimbali katika shamba la Rushu Rachi

 

SAM 2143%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2148%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2156%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2159%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

 

SAM 2160%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Makundi mbalimbali ya mbuzi waliopo katika Rushu Ranchi
SAM 2164%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
SAM 2172%2B %2BCopy - Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe
Chanzo: Blogu ya Habari Mifugo na Uvuvi

 

Leave a Reply

error: Alert: Imezuiliwa !!