Site icon Ufugaji Bora

TEKNOLOJIA YA UFUGAJI MSETO WA SAMAKI, KUKU NA MAZAO YA KILIMO

Teknolojia ya ufugaji mseto wa samaki, kuku na mazao ya kilimo

Samaki

  1. Utangulizi

Ufugaji wa samaki ni ukuzaji wa samaki katika mabwawa, matenki n.k

Mseto wa ufugaji wa samaki, kuku na kilimo cha mzao ya kilimo (Integrated Aquaculture agriculture -IAA) ni kilimo kinachohusisha zaidi ya zao moja (yaani samaki, kuku na kilimo cha mazao) kaitka eneo moja kwa lengo la kumrahisishia mfugaji kufuatilia na kutumia muda vizuri, kutumia eneo dogo la ardhi kuongeza kipato na kuku uchumi wa kaya.

Katika ufugaji huu samadi ya kuku hudondoka katika bwawa la samaki na kuchochea kuota kwa mwani (Uoto wa asili wa kijani) ndani ya bwawa ambacho ndicho chakula cha samaki, lakini pia maji yanayotumika bwawani yanakuwa na virutubisho vingi. Maji haya hutumika kumwagilia mazao ya kilimo na kuchochea ukuaji mzuri wa mazao ya kilimo/mbogamboga.

Lengo kuu la kuanzisha tekinolojia ya kilimo mesto ni kuwezesha shughuli zote kufanyika katika eneo moja kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa mazo (samaki, kuku na mbogamboga) katika eneo dogo la ardhi kuziwezesha jamii za wa wafugaji kupata kipato, lishe bora na mazao zaidi ya moja katika eneo moja.

Mchoro kuonyesha ufugaji mesto wa samaki, kuku na kilimo cha mazao
  1. Umuhimu wa Ufugaji/kilimo mseto

Badala ya kukununua chakula kingi kwa ajili ya kuku na samaki, mfugaji atanunua chakula kidogo kwa ajili ya kuku na samaki wataongezwa chakula kidogo na pia mbolea kutoka kwenye bwawa la samaki inatumika kurutubisha mazao ya kilimo.

 

  1. Nini cha kuzingatia wakati unafikiria kuwekeza katika kilimo mseto

 

  1. Mahali pa kupata mbegu bora ya samaki aina ya Perege na Kambale kwa ajili ya kufuga

 

IMEANDALIWA NA

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

HALMASHAURI YA WILAYA YA RUFIJI

  1. L. P 28

UTETE/RUFIJI

Exit mobile version