MATUMIZI YA MADAWA YA MIFUGO YANAVYOPELEKEA USUGU WA BAKTERIA KATIKA MIFUGO
PATA ELIMU HII KUPITIA APP MPYA ILIYOPORESHWA HAPA Bakteria ni nini? Bila shaka swali hili kila mfugaji anaweza kulijibu kwa ukamilifu maana mifugo yake kwa wakati mmoja au mwingine imeugua…