UFUGAJI BORA WA SAMAKI
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji…
MBINU MUHIMU WAKATI WA UANZISHAJI UFUGAJI WA SAMAKI Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo kwa ajili ya mradi wa ufugaji…
Na Dua Ramadhan Minyoo (Red Worms) ni chakula kizuri sana cha kuku, Bata na Samaki kwani minyoo wanaprotini nyingi sana, kuku, wakipewa minyoo wanakuwa kwa haraka na kuwafanya kuwa na…
Na Peter Britz na Samantha Venter Taarifa kuhusu Africa Kupanda taratibu kutokea mwanzo kwa ufugaji na uzalishaji wa samaki barani Afrika, inaonyesha kutakuwepo na ukuaji endelevu kwa miongo miwili ijayo.…
FUGA SAMAKI KWA KIPATO ENDELEVU NA CHAKULA BORA UTANGULIZI Ufugaji wa samaki unafaida zifuatazo: huongeza kipato kwa wakulima, hurahisisha upatikanaji wa chakula hasa chakula aina ya protini,unapunguza kasi kubwa ya…
Wadau nimeona ni vyema nikawashirikisha nanyi kuitazama na kuwasikiliza watoa mada katika video inayopatikana kwenye link ifuatayo; Uchakataji wa mazao ya Uvuvi Dagaa wanao kaushwa kwa njia ya Jua katika…
Ndugu Mdau wa Ukurasa huu, ninayo furaha kukushirikisha kuitizama Video hii ujionee jinsi ambavyo wadau wengine wamehamasika katika tasnia hii ya ufugaji samaki kibiashara. Video hiyo utaipata kwa link ifuatayo…
Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe. Aina ya bwawa la kufugia samaki. Bwawa la kuchimba udongo bila kujengea “Earthen Pond” ambalo…
Mnamo tarehe 27/01/2017 kampuni ya ROFACOL CO. LTD inayojihusisha na masuala ya ufugaji samaki Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini yenye ofisi zake Kyela Mjini iliandaa semina juu ya Ufugaji…
Pichani chini ni Washiriki wa Semina ya Usalama wa Mazingira ya Kufugia Samaki na Magonjwa, Zaidi ya Mameneja kumi kutoka mashamba mbalimbali ya samaki likiwemo shamba la EDEN AGRI-AQUA CO.LTD…
1.Mambo yakuzingatia wakati wakuchagua eneo kwaajili ya ufugaji samaki. Aina ya udogo: hili nijambo muhimu kwani aina ya udogo huathiri kwenye kuchagua aina gani ya bwawa litumike. Tambua kuwa kuna…
Jifunze namna ya kufuga samaki kwenye ziwa kwa kutmia kizimba hatua kwa hatua kupitia video hii
Mojawapo ya maswali yanaulizwa na wafugaji wengi wa samaki ni pamoja na swala la maji yaliyomo ndani ya bwawa. Maswali yanayoulizwa ni kama yafuatayo Maji yanayofaa kwa ufugaji wa samaki…
Kitendo cha kutupa samaki kinaweza kuonekana kama kitendo kisicho cha kawaida au jambo lisilo la busara, lakini kwa ujumla huwepo upotevu mkubwa wa samaki baada ya kuvuliwa. Baadhi ya wavuvi…
Na Mtafiti Utafiti wa awali na Utengenezaji wa Chakula Utafiti wa viungo mchanganyiko vinavyotumika na wakulima kulishia samaki, na unaofaa ulifanyika katika mikoa ya Arusha na Mbeya. Lengo la utafiti…
Na Mtafiti Chakula cha samaki ni tatizo kubwa katika maendeleo ya ufugaji wa samaki hapa nchini. Wengi wa wafugaji wadogo wa samaki hutegemea kurutubisha bwawa kwa kutumia chakula kisichokuwa na…
UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali…
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki. Udhibiti mzuri wa ubora wa chakula unaweza kupunguza gharama zisizo za lazima na kumhakikishia mfugaji…
Na Farida Mkongwe HATUA YA 6: MASOKO Katika hatua ya 5 ya mfululizo wa makala hii ya ufugaji wa samaki tulizungumzia uvunaji, usindikaji na uhifadhi wa samaki. Katika uvunaji tuliona…
Na Farida Mkongwe HATUA YA 5: UVUNAJI, USINDIKAJI NA UHIFADHI WA SAMAKI Katika hatua ya 4 ya mfululizo wa makala hii ya ufugaji wa samaki ilizungumzia ulishaji na utunzaji wa…
Na Farida Mkongwe HATUA YA 4: ULISHAJI NA UTUNZAJI WA SAMAKI BWAWANI Katika hatua ya tatu tuliona kuwa vifaranga kabla ya kusafirishwa viwekwe kwenye vibwawa vidogo vidogo kwa muda wa…
You must be logged in to post a comment.