UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI TANGU VIFARANGA HADI KUKU WAKUBWA
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya…
Kuku wanaopata lishe bora, kutunzwa vizuri na kupatiwa chanjo dhidi ya magonjwa yanayotokea mara kwa mara huwa na afya nzuri. Ni bora kuzuia magonjwa kuliko kutibu ili kupunguza vifo na…
MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder (kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana, na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo…
SEHEMU YA KWANZA SOMA HAPA KANUNI ZA KUFUATA UPANDE WA BIOSECURITY YA KUKU KILA SIKU a) Nyaraka na Mafunzo kwa wafanyakazi i) Kila shamba la kuku/hatchery iwe na nyaraka (document)…
Na Augustino Chengula Ni jambo jema kufahamu kama mayai yanayo atamiwa na kuku wako yataanguliwa yote au mangapi hayataanguliwa. Na kwa wanaototoresha vifaranga ni muhimu zaidi kwao kujua hali ya…
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto zake na zinatofautiana. Hivyo hata ufumbuzi wa changamoto hizo unatofautiana sana. Kikubwa usikate tamaa maana ndio…
MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza…
MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja ya sehemu muhimu ya kuzingatia sana kwaajili ya kuku wenye ukuaji mzuri na uwezo mzuri…
HABARINI NAKUMBUKA NATAKIWA KULETA SOMO LA MWANGA NITATEKELEZA LEO Ila naomba twende sawa hapa wafugaji mkifaulu katika swala hili hamtakaa mjute wala kumlipa mfanyakazi wa kuhudumia kuku hela kidogo MTUNZAJI…
NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa…
Na Godwin Magambo Leo nawaletea makala kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai (Layers, Kuroilers) Utengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia fomyula sahihi ni njia nzuri kwa mfugaji…
Ugonjwa huu husababishwa na bacteria Pasteurella multocida. Kuenea Ugonjwa huu huenea kutoka kwa kuku mmoja kwenda kwa mwingine kupitia maji na chakula kilichochafuka. Wadudu kama nzi na utitiri mwekundu na…
-Kinga dhidi ya magonjwa na wadudu waharibifu Katika hatua hii nitaelezea magonjwa muhimu yanayo wakabili kuku wa mayai na wadudu walibifu na namna ya kukabiliana navyo. Ni hatua muhimu sana…
Uondoaji wa kuku waliokoma/kupunguza kutaga na kuanza upya ufugaji (Wiki ya 80 na kuendelea) Kuku wazuri wanaweza kutaga vizuri mfululizo kwa kipindi cha miaka miwili baada ya hapo utagaji wao…
Na Dua Ramadhan Ufugaji wa mende ni ufugaji ambayo unapendwa sana kwani nchini china, Denmark na Australia chakula kikuu cha kuku ni mende. Mende upunguza gharama kubwa ya chakula cha…
Utunzaji wa kuku wanao taga (Wiki 20-120) Kama tulivyoona kwenye hatua ya nne ya ufugaji wa kuku wa mayai, kuku wa mayai wanaweza kuanza kutaga yai moja moja na wakati…
Na Dua Ramadhan Moja ya virutubisho muhimu vya kuku ni protini ambayo unaweza kuwapa kupitia vyakula mbalimbali. Funza ni wadudu walio na protini nyingi ambayo inahitajika sana kwa ajili ya…
Utunzaji wa kuku wa mayai wanaokaribia na wanaoanza kutaga (Wiki ya 12-20) Umri huu ni wa kuku wanaojulikana kama matetea vijana ( “pullets “) walioko kwenye kipindi cha mpito cha…
Na Dua Ramadhan Minyoo (Red Worms) ni chakula kizuri sana cha kuku, Bata na Samaki kwani minyoo wanaprotini nyingi sana, kuku, wakipewa minyoo wanakuwa kwa haraka na kuwafanya kuwa na…