Yaliyotekelezwa na yatakayotekelezwa na wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi kwa mwaka 2019/20

PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA

Wizara ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mfululizo wa vipindi vya redio na televisheni ambavyo lengo lake kuu ni kutoa elimu na kukufahamisha majukumu ya wizara ya kuboresha sekta ya mifugo na uvuvi kwa mwananchi na taifa kwa ujumla.

Katika kipindi hiki utafahamu baadhi ya mambo makubwa yaliyotekelezwa na wizara kwa mwaka 2018/19 na ambayo inatarajia kutekeleza kwa mwaka 2019/20.

Kipindi hiki kinatokana na kikao cha Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina alichofanya jijini Dodoma Julai 9 mwaka 2019 kikijumuisha wafanyakazi wote wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wanaofanya kazi makao makuu ya wizara hiyo na viongozi wa taasisi zilizo chini ya wizara.

VIDEO YOTE IPO HAPA

 

 

 

Leave a Reply