Changia Tovuti

Ndugu mpenzi na mfuatiliaji wa tovuti hii ya Ufugaji, tunakushukuru kwa ufuatiliaji na tunaamini unanufaika na elimu inayotolewa na tovuti hii. Kama ungependa kuichangia tovuti hii ili kuiwezesha iweze kuendelea kukuletea elimu hii kwa kasi, ubora na kwa kukusanya taarifa toka kwa wataalamu na wadau mbalimbali wa sekta ya mifugo, basi usisite kuwasiliana nasi kupitia barua zetu pepe hapa chini. Utapewa utaratibu wa namna ya kuchangia tovuti hii. Kiasi chochote kile kitaiwezesha tovuti yako uipendyo izidi kukua zaidi.

Tunatanguliza shukrani zetu kwako ndugu yetu mwenye mapenzi mema na tovuti hii.

 

Mawasiliano:

ufugajitz@gmail.com