APP MPYA YA UFUGAJI BORA ILIYOBORESHWA NA LINK YA KUNDI TELEGRAM
1. KIUNGANISHI: APP YA UFUGAJI BORA 2. KUNDI LA KILIMO NA MIFUGO TELEGRAM JIUNGE KUPITIA...
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUWEKA JOTO KWA VIFARANGA
UTANGULIZI Kwanza tuanze kwa kujiuliza ni kwa nini vifaranga huwa wanahitaji kuwekewa joto katika wiki...
NAMNA YA KUJUA VIINI LISHE VILIVYOMO CONTENT YA CHAKULA (%)
Kwa kawaida mwili unahitaji vitu vikuu kama vitano kwenye chakula Nishati au energy Protein Vitamin...
JE WAJUA MAGONJWA MUHIMU YA YANAYOSUMBUA KUKU
UGONJWA WA MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia...
JINSI YA KUTENGENEZA SEHEMU YA KULELEA VIFARANGA/ BROODER
MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder (kinengunengu), hii ni sehemu ya...
UFUGAJI WA SUNGURA
Na Rubaba Imani UTANGULIZI Kama mnyama yeyote sungura anahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha...
KUHARISHA DAMU KWA KUKU (COCCIDIOSIS):
–Tukizungumzia kuku ni ufugaji wenye faida sana kama ukizingatia utaratibu wa ufugaji, na magonjwa ni...
SULUHISHO LA UTITIRI NA VIROBOTO KATIKA BANDA LA KUKU NA MIFUGO MINGINO
Viroboto na utitiri vinaweza kudhibitiwa kwa kutumia dawa ya asili na dawa za viwandani. Dawa...
WAJUE KUKU AINA YA KUROILER NA SIFA UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU
Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili. Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler (Kutoka...
BIOSECURITY KATIKA UFUGAJI WA KUKU: SEHEMU YA PILI
SEHEMU YA KWANZA SOMA HAPA KANUNI ZA KUFUATA UPANDE WA BIOSECURITY YA KUKU KILA SIKU...
UTAJUAJE KAMA MAYAI YA KUKU YATAANGULIWA?
Na Augustino Chengula Ni jambo jema kufahamu kama mayai yanayo atamiwa na kuku wako...
MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm...
HATUA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA MRADI WA KUKU
👆Kutokana na wengi sana kunitafuta kuomba ushauri, hasa wafugaji wageni au wapya wanao anza kwamba...
DHIBITI UBORA WA CHAKULA CHA SAMAKI KUPUNGUZA GHARAMA
Chakula cha samaki ni moja ya mahitaji muhimu yanayotumia gharama kubwa katika ufugaji wa samaki....
BIOSECURITY KATIKA UFUGAJI WA KUKU: SEHEMU YA KWANZA
UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na kusambaa kwa...
UFUGAJI WA MBUZI WA MAZIWA: MWANZO – MWISHO
Aina za Mbuzi wa Maziwa Aina ya mbuzi anayepatikana sehemu nyingi nchini ni Small East...
CHANGAMOTO NI MTAJI KATIKA UFUGAJI WAKO
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto...
MATUMIZI YA MADAWA YA MIFUGO YANAVYOPELEKEA USUGU WA BAKTERIA KATIKA MIFUGO
PATA ELIMU HII KUPITIA APP MPYA ILIYOPORESHWA HAPA Bakteria ni nini? Bila shaka swali...
KUDONOANA NA KULA MAYAI
MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia...
ZINGATIA YAFUATAYO KULEA VIFARANGA
MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja...