Ufugaji wa nguruwe hatua kwa hatua na upatikanaji wa masoko
Ufugaji wa nguruwe ni fursa nzuri ya biashara kwa sababu ya soko kubwa la nyama ya nguruwe, uwezo wa nguruwe kukua haraka, na gharama nafuu ya ufugaji. Hapa kuna mwongozo…
Ufugaji wa nguruwe ni fursa nzuri ya biashara kwa sababu ya soko kubwa la nyama ya nguruwe, uwezo wa nguruwe kukua haraka, na gharama nafuu ya ufugaji. Hapa kuna mwongozo…
A. Vidokezo muhimu vya kufanya nguruwe wako wakue haraka na kwa afya 1. Chakula Bora na Chenye Lishe – Wape chakula cha hali ya juu, chenye virutubisho vyote vinavyohitajika kama…
Ufugaji wa nguruwe una faida nyingi kwa wakulima na wafugaji. Baadhi ya faida kuu za ufugaji nguruwe ni: 1. Faida ya Kiuchumi Soko Kubwa la Nyama: Nguruwe hutoa nyama ya…
Ufugaji wa nguruwe ni fursa yenye faida na inayokua kwa kasi kwa sababu kadhaa: 1. Mahitaji Makubwa ya Nyama ya Nguruwe Nguruwe hutoa kiasi kikubwa cha nyama, ambayo ni miongoni…
Umuhimu wa Usafi kwenye Mabanda Usafi kwenye mabanda ya mifugo ni muhimu sana kwa sababu zifuatazo: Kuzuia Magonjwa: Mabanda machafu ni chanzo kikuu cha magonjwa kwa mifugo. Magonjwa kama vile…
Umuhimu wa vitamini na madini kwenye chakula cha mifugo Vitamini na madini ni muhimu sana katika lishe ya mifugo kwa sababu zinachangia ukuaji, afya, na uzalishaji bora wa wanyama. Hapa…
Ufugaji wa nguruwe wenye tija unahitaji mipango mizuri, utekelezaji bora, na usimamizi wa kina. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuhakikisha ufugaji wako wa nguruwe unakuwa wenye tija:…
Ufugaji wa nguruwe ni shughuli yenye faida kubwa ikiwa inafanywa kwa njia sahihi. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua wa ufugaji wa nguruwe: 1. Uchaguzi wa Eneo Eneo lenye…
Mlipuko wa homa ya nguruwe umekuwa ukijitokeza karibu kila mwaka ndani ya nchi yetu kwa maeneo tofauti. Mara nyingi mlipuko umekuwa ukijitokeza maeneo hasa ya mikoa iliyo kwenye barabara kuu…
Kwa kawaida mwili unahitaji vitu vikuu kama vitano kwenye chakula Nishati au energy Protein Vitamin Madini au minerals Maji Hi ni sayansi ambayo hata enzi za somo la sayansi kimu…
*MIZANI NA UPIMAJI UZITO* _By ARBO Pigs Farm_ Katika *Ufugaji wa Nguruwe Kisasa na kwa Tija/Kibiashara*, Mizani na Upimaji Uzito ni Nyenzo muhimu kabisa kwa Mfugaji wa Nguruwe kwenye shughuli…
Nguruwe moja jike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini (Iodine)…
A. Utangulizi Chakula bora kwa nguruwe ni moja ya swala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha nguruwe kinagarimu yapata…
Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya nguruwe ambayo haina kinga wala tiba.…
Homa ya nguruwe ni ugonjwa unaoenezwa na kirusi na umekuwa ukijirudia rudia kila mwaka kwa wafugaji wengi nchini mwetu. Hadi sasa ugonjwa huu hauna chanjo wala tiba, lakini ueneaji wake…
Imeandikwa na: Katabaro, Mugyabuso G (0689494521) UTANGULIZI Vyakula ni muhimu sana hasa unapofikiria ufugaji wa kisasa na kibiashara. Vyakula huchangia kuanzia asilimia hamsini (50%) hadi sabini (70%) ya gharama za…
Utangulizi Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri Nguruwe wanafugwa maeneo mengi duniani kwa zaidi…
Na Patrick Tungu Nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula yaani mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mfanyabiashara. Nguruwe hutegemea sana mambo yafuatayo; 1. Bada…
BIASHARA YA MAZAO YA NG’OMBE DUNIANI Mazao makuu ya ng’ombe (cattle) ni: (i) NYAMA: beef (adult cattle) na veal (calves) na sehemu nyingine za ng’ombe zinatumika kwa chakula; (ii) MAZIWA…
You must be logged in to post a comment.