Uzalishaji bila uchaguzi sahihi wa dume ni kufanya kazi kwa kubahatisha
Na Mkulima Mbunifu Tunaangalia uchaguzi wa dume mzuri kwa uzalishaji wa ng’ombe wa maziwa, pamoja na aina ya malisho ambayo mfugaji anaweza kuyatumia kuweza kukabiliana na changamoto ya malisho kwa…
