JINSI YA KUTENGENEZA SEHEMU YA KULELEA VIFARANGA/ BROODER
MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder (kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana, na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo…