UFUGAJI WA NGURUWE: MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA NGURUWE WACHANGA
Nguruwe moja jike ana uwezo wa kuzaa watoto 12. Namna ifuatayo itasaidia kupunguza idadi ya vifo vya nguruwe wachanga: Pale nguruwe awapo na kidonda nyunyizia dawa ya ayodini (Iodine)…
