DAWA ZINAZOTKANA NA MIMEA SHAMBA ZIMEONYESHA UWEZO MKUBWA WA KUTIBU UGONJWA WA KOKSIDIOSIS
Koksidiosis (coccidiosis) ni ugonjwa unaoshambulia kuku na mifugo mingine kama ng’ombe, mbuzi na kondoo kusbabisha madhara makubwa kwa fugaji yanayotokana na vifo vingi na madhara mengi ya kiafya kwa kuku.…
