App ya Tovuti ya Ufugaji inapatikana playstore

ByChengula

Mar 11, 2017

Ndugu wapenzi na wafuatiliaji, wasomaji na wachangia wa Tovuti ya Ufugaji sasa mnaweza kufuatilia kupitia app inayopatikana playstore kwa jina la UFUGAJI. Au unaweza kutumia link hii kupakua app ya Ufugaji Ubora.

Leave a Reply