Pakua kijitabu cha mwongozo wa ufugaji wa kuku kijitabu ambacho kitakusaidia uyajua mambo yafuatayo:
- Maana ya kuku wa asili
- Ujenzi wa mabanda ya kisasa ya kuku
- Vyakula vinavyohitajika kulisha kuku
- Matatizo ya ufugaji wa kuku na namna ya kukabiliana nayo
- Maswali mbalimbali yanayoulizwa mara kwa mara na wafugaji wa kuku sehemu nyingi vijijini na majibu yaliyotolewa na wataalam wa mifugo
Kijitabu kipo HAPA, pakua unufaike. HAPA KAZI TU.