Kunyonyoka Manyoya kwa Kuku
Kunyonyoka manyoya kwa kuku ni nini? Ni mchakato wa asili na muhimu kwa kuku kupoteza/kujinyonyoa manyoya ya zamani/yaliyochoka/yaliyovunjika ili kupata/kuota manyoya mapya. Kwa nini kuku wananyonyoka manyoya? * Sababu kuu…
