JIFUNZE NAMNA BORA YA KUPAMBANA NA MLIPUKO WA HOMA YA NGURUWE
Mlipuko wa homa ya nguruwe umekuwa ukijitokeza karibu kila mwaka ndani ya nchi yetu kwa maeneo tofauti. Mara nyingi mlipuko umekuwa ukijitokeza maeneo hasa ya mikoa iliyo kwenye barabara kuu…