UDHIBITI NA TIBA DHIDI YA MAGONJWA YA KUKU WA KIENYEJI
Kuku wanaopata lishe bora, kutunzwa vizuri na kupatiwa chanjo dhidi ya magonjwa yanayotokea mara kwa mara huwa na afya nzuri. Ni bora kuzuia magonjwa kuliko kutibu ili kupunguza vifo na…
Kuku wanaopata lishe bora, kutunzwa vizuri na kupatiwa chanjo dhidi ya magonjwa yanayotokea mara kwa mara huwa na afya nzuri. Ni bora kuzuia magonjwa kuliko kutibu ili kupunguza vifo na…
1) Ugonjwa wa Mdondo Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia asilimia tisini. Ndege wakubwa hustahimili kidogo…
Na Mwandishi Wetu Augustino Chengula Ndui ya kuku ni nini? Ndui ya kuku ni ugonjwa unaowapata kuku na bata ukienezwa na virusi wajulikanao kwa jina la kisayansi kama fowl pox…
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA UGONJWA WA KIWELE (MASTITIS) NDIGANA KALI (EAST COAST FEVER) UGONJWA WA KIFUA KIKUU KWA NG’OMBEKIFUA KIKUU CHA NG’OMBE UTUPAJI MIMBA KWA NG’OMBE HOMA YA MAPAFU…