UTARATIBU WA KUPATA LESENI YA BIASHARA YA MIFUGO HAI
A: BIASHARA YA MIFUGO KATIKA MKOA Mfanyabiashara anapaswa kuwa na vielelezo vifuatavyo: 1.Kutambuliwa na kusajiliwa na Bodi ya Nyama kupitia Idara ya Mifugo katika Halmashauri ya Wilaya husika kwa malipo…