JE WAJUA MAGONJWA MUHIMU YA YANAYOSUMBUA KUKU
UGONJWA WA MDONDO/KIDERI (NEWCASTLE DISEASE) Ugonjwa huu huathiri kuku katika umri wowote na unapoingia kwenye kundi huweza kuua idadi kubwa ya kuku hao hadi kufikia 90%. Ndege wakubwa hustahimili kidogo…
