MUHTASARI WA UFUGAJI KUKU
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
1: Maandalizi ya banda la kuku Fagia, deki kwa maji, pulizia dawa/disinfection (Th4, V rid,Farm guard nk). Acha banda likae zaidi ya siku 7 baada ya kutoa kuku wakubwa kabla…
UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na kusambaa kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji kuku umeongezeka kwa kasi, magonjwa…
JE, CHANGAMOTO ZINAKUSAIDIA KUKUA KATIKA UFUGAJI WAKO? USIKATE TAMAA Kila jambo katika maisha linachangomoto zake na zinatofautiana. Hivyo hata ufumbuzi wa changamoto hizo unatofautiana sana. Kikubwa usikate tamaa maana ndio…
MAKALA KUHUSU KUKU KULA MAYAI, KUDONOANA NA KUNYONYOKA MANYOYA Tatizo la kuku kuwa na tabia zisizo faa/cannibalism limekua shida kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku aina zote, ilaa limekua likijitokeza…
MAKALA JUU YA VITU VYA KUZINGATIA WAKATI WA KUPOKEA VIFARANGA ULEAJI WA VIFARANGA/BROODING ni moja ya sehemu muhimu ya kuzingatia sana kwaajili ya kuku wenye ukuaji mzuri na uwezo mzuri…
HABARINI NAKUMBUKA NATAKIWA KULETA SOMO LA MWANGA NITATEKELEZA LEO Ila naomba twende sawa hapa wafugaji mkifaulu katika swala hili hamtakaa mjute wala kumlipa mfanyakazi wa kuhudumia kuku hela kidogo MTUNZAJI…
NYUMBA YA KUISHI KUKU/POULTRY HOUSE Kwanini nimeamua kuita nyumba ya kuishi kuku/poultry house. Sababu ni kwamba sehemu kuku anapoishi panatakiwa kuwa na vigezo vyote stahiki, ili kumpa kuku uhusu wa…
Na Godwin Magambo Leo nawaletea makala kuhusu utengenezaji wa chakula cha kuku wa mayai (Layers, Kuroilers) Utengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia fomyula sahihi ni njia nzuri kwa mfugaji…
Ugonjwa huu husababishwa na bacteria Pasteurella multocida. Kuenea Ugonjwa huu huenea kutoka kwa kuku mmoja kwenda kwa mwingine kupitia maji na chakula kilichochafuka. Wadudu kama nzi na utitiri mwekundu na…
-Kinga dhidi ya magonjwa na wadudu waharibifu Katika hatua hii nitaelezea magonjwa muhimu yanayo wakabili kuku wa mayai na wadudu walibifu na namna ya kukabiliana navyo. Ni hatua muhimu sana…
Uondoaji wa kuku waliokoma/kupunguza kutaga na kuanza upya ufugaji (Wiki ya 80 na kuendelea) Kuku wazuri wanaweza kutaga vizuri mfululizo kwa kipindi cha miaka miwili baada ya hapo utagaji wao…
Na Dua Ramadhan Ufugaji wa mende ni ufugaji ambayo unapendwa sana kwani nchini china, Denmark na Australia chakula kikuu cha kuku ni mende. Mende upunguza gharama kubwa ya chakula cha…
Utunzaji wa kuku wanao taga (Wiki 20-120) Kama tulivyoona kwenye hatua ya nne ya ufugaji wa kuku wa mayai, kuku wa mayai wanaweza kuanza kutaga yai moja moja na wakati…
Na Dua Ramadhan Moja ya virutubisho muhimu vya kuku ni protini ambayo unaweza kuwapa kupitia vyakula mbalimbali. Funza ni wadudu walio na protini nyingi ambayo inahitajika sana kwa ajili ya…
Utunzaji wa kuku wa mayai wanaokaribia na wanaoanza kutaga (Wiki ya 12-20) Umri huu ni wa kuku wanaojulikana kama matetea vijana ( “pullets “) walioko kwenye kipindi cha mpito cha…
Na Dua Ramadhan Minyoo (Red Worms) ni chakula kizuri sana cha kuku, Bata na Samaki kwani minyoo wanaprotini nyingi sana, kuku, wakipewa minyoo wanakuwa kwa haraka na kuwafanya kuwa na…
Utunzaji wa kuku wa mayai walio katika umri wa ukuaji (Wiki ya 6 au 8-12) Hii ni hatua ya kati ya ukuaji wa kuku wa mayai, si vifaranga tena bali…
Chakula cha kuku ni bidhaa muhimu kutunzwa kwa uangalifu, kwani kisipotunzwa vizuri, na ukawalisha kuku wako: – Wanaweza kuumwa – Wanaweza kuacha kutaga – Au wanaweza kufa SABABU ZA CHAKULA…
-Usafirishaji na upokeaji wa vifaranga Endapo unanunua vifaranga hakikisha una namba sahihi na kwamba vifaranga wanauwiano sawa, wapo hai na wachangamfu na hawana matatizo yeyote na kitovu hakina dalili za…
Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai Uandaaji wa nyumba ya kuku wa mayai ni jambo la kutilia kipau mbele maana nyumba iliyobora inawafanya kuku wafurahi na kukupa matokeo unayotaraji…
You must be logged in to post a comment.