Biosecurity Katika Ufugaji wa Kuku
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na usambaaji kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji…
PAKUA APP YA UFUGAJI HAPA UTANGULIZI a) Maana ya Biosecurity Ni hatua zinazochukuliwa kuzuia au kudhibiti upenyezaji na usambaaji kwa visababishi vya magonjwa kwenye kundi la kuku. Kwa kuwa ufugaji…
Kwenye mpango huu utajifunza yafuatayo; Njia za uendelezaji wa vizazi/Koo: Uazalishaji wa asili na uhimilishaji Dalili za ng’ombe aliyekwenye joto Sifa muhimu za kuzingatia wakati wa kuchagua dume Kupata elimu…
Kunyonyoka manyoya kwa kuku ni nini? Ni mchakato wa asili na muhimu kwa kuku kupoteza/kujinyonyoa manyoya ya zamani/yaliyochoka/yaliyovunjika ili kupata/kuota manyoya mapya. Kwa nini kuku wananyonyoka manyoya? * Sababu kuu…
PAKUA APP YA TOVUTI HII YA UFUGAJI HAPA Na Daniel Mbega BINAFSI nimezaliwa katika jamii ya wafugaji ambayo ulaji wa nyama, hasa ya mbuzi, ni sehemu ya maisha. Nakumbuka tangu…
A. Utangulizi Chakula bora kwa nguruwe ni moja ya swala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha nguruwe kinagarimu yapata…
Anza kwa Kupakua App ya Ufugaji HAPA Pamoja na kuwapatia huduma bora kuku wako, kuwakinga na wanyama na ndege wanaoweza kuwadhuru iwe ni kitu cha muhimu kwenye vitu unavyopaswa kuvifanya…
Tunashauri jamii kufuga kuku wa kuchanganya damu (cross breed) yaani pandisha kuku wa kienyeji na wale wa kisasa (indigenous + Pure breeds) ili kuweza kupata kuku ambao kwa kiasi fulani…
Na Augustino Chengula Kwa asili kuku wanapenda sana kudonoa kila kitu wanachokiona kinawavutia chenye mfanano na chakula. Kwa bahati mbaya tabia ya kudonoa haiishii tu kwa vitu bali huenda mbali…