Kwenye mpango huu utajifunza yafuatayo;
- Njia za uendelezaji wa vizazi/Koo: Uazalishaji wa asili na uhimilishaji
- Dalili za ng’ombe aliyekwenye joto
- Sifa muhimu za kuzingatia wakati wa kuchagua dume
Kupata elimu ya mambo hayo soma huu Mwongozo wa msingi wa uendelezaji uzazi