Mafanikio katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa huletwa na mipango mizuri
Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Wafugaji waliofanikiwa wanafahamu fika kuwa katika uzalishaji wa maziwa 20% inatokana na aina ya ng’ombe na 80% matunzo. Watu wengi…
