Ng’ombe wa Maziwa: Mpango wa Msingi wa Uendelezaji wa Vizazi
Kwenye mpango huu utajifunza yafuatayo; Njia za uendelezaji wa vizazi/Koo: Uazalishaji wa asili na uhimilishaji Dalili za ng’ombe aliyekwenye joto Sifa muhimu za kuzingatia wakati wa kuchagua dume Kupata elimu…
