Ufugaji wa kuku tangu vifaranga
ULEAJI BORA WA VIFARANGA Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi. Katika uleaji…
Serikali itafute suluhisho la kudumu migogoro ya wakulima na wafugaji
Katika siku za karibuni kumeibuka tena taarifa za vurugu kati ya wakulima na wafugaji katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Hivi karibuni kulikuwa na taarifa za kuuawa ng’ombe 68 na…
Dalili za kutambulisha ng’ombe aliye kwenye joto
Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa. Kushindwa kutambua joto ni chanzo…
Vituo vya kuzalisha vifaranga wa samaki Tanzania
Vifuatavyo ni vituo vya kuzalisha vifaranga wa samaki hapa nchini Tanzania Bukoba (Bukoba Mjini) Moshi (Karanga) Morogoro (Kingolwira) Lindi (Mtama) Mara (Musoma) Mwanza (Mwanza) Songea (Luhira) Tabora (Sikonge)
Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji
Idadi ya wanyama wanaofugwa kwa chakula imezidi ile ya binadamu zaidi ya mara mbili kote ulimwenguni. Kuna maelfu ya wanyama kote duniani ilihali ni wachache tu wanaoweza kufugwa. Kati ya…
Aina, njia za ufugaji na uchaguzi wa nguruwe bora
Utangulizi Nchini Tanzania ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu, nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia kipato mfugaji kwa haraka, kwani huzaa mara mbili…
Mwongozo wa ufugaji bora wa nguruwe kwa mfugaji mdogo
Pakua kitabu hiki na ujifunze ufugaji wa nguruwe ukiwa nyumbani MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA NGURUWE KWA MFUGAJI MDOGO
Darasa la ufugaji wa kuku
MAZOEA YANAYOWAGHARIMU WAFUGAJI Kuna baadhi ya wafugaji huwa wanafuga kwa kutegemea uzoefu walionao katika ufugaji bila ya kujali kuwa kuna mabadiliko kila siku katika sekta ya mifugo, wengi wao huwa…
ORODHA YA VITABU VYA UFUGAJI
VIUNGANISHI VYA KUPAKUA VITABU VITABU VYA KISWAHILI UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI BIASHARA YA UFUGAJI BORA WA KUKU WA ASILI UFUGAJI BORA WA KUKU MWONGOZO WA UFUGAJI BORA WA…
You must be logged in to post a comment.