[ad_1]
NENO LA USHAWISHI…….JE WEWE NI KIJANA NA UNAPENDA UFUGAJII???somaa hapaa
habari wasomaje na wafuatiliaji wa blog yetu,Leo ningependa kutoa neno la ushawishi kwa vijana wenzangu waliopo shuleni,vyuoni na mtaanii..je ni vipi unatumia muda wako baada ya masomo au kazi???umewahi kupata wazo la biashara??kama umewahi kupata wazo la biashara au la kukuingizia kipato ni kwanini hujaanza mpaka wakati huu???…MAWAZOO…….MAWAZOOO…Mawazo ni mazuri lakini yakifanyiwa kazi,mawazo yasipo fanyiwa kazi hakika kijana mwenzangu utabaki kuvusha tuu na kutamania maisha ya watu wengine.SIRI,siri ya mafanikio yoyote ni kufanya kazi,usiogope mtu mwenyewe mawazo makubwa,ila mheshimu sana mtu anaefanyia kazi mawazo yake.Hivyo siri ni moja,KUFANYA KAZI NA KUJITUMA KATIKA KILA JAMBO UFANYALO.
Hebu nikupe wazo hili leo,ushawahi kuwaza kufuga kuku wa asili au hata kisasa?biashara ya kuku kama zilivyo biashara nyingine ni biashara yenye faida kubwa kwa mfugaji.
KUKU WA KIENYEJI,Huweza kufugwa kwa gharama ndogo,kama ilivyo andikwa katika matoleo yetu yaliopita juu ya faida ya kuku hawa,JE kijana umewahi kuhamasika kufanya kitu hiki?kwanini usijaribu leo?Anza leo,ukishindwa mara ya kwanza usiwaze kushindwa tena.
TAZAMA PICHA ZA VIDEO HIII
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO HII
[ad_2]
Source link