sungura

UFUGAJI WA SUNGURA

Na Rubaba Imani UTANGULIZI Kama mnyama yeyote sungura anahitaji utunzaji mwema ili waweze kuzalisha kwa wingi. Anahitaji kujengewa chumba maalum na kuangaliwa kila siku na kuhakikisha usafi wa vyumba hivi.…