Namna uhamilishaji (Artificial Insemination) inavyofanyika NAIC Arusha
Video hii inaonyesha namna uhamilishaji (A.I) unavyofanyika pale NAIC (National Artificial Insemination Centre) Arusha. Video hii itakufundisha maana ya uhamilishaji, historia ya uhamilishaji Tanzania na namna uhamilishaji unavyofanyika na umuhimu…
