KIPIMA JOTO ITV: KUIBUKA KWA UCHINJAJI HOLELA WA MIFUGO NA KUHATARISHA AFYA ZA WALAJI
JE MAMLAKA HUSIKA ZINAWAJIBIKA IPASAVYO KUDHIBITI TATIZO HILO? Hili ni swali la kipima joto kutoka kituo cha utangazaji cha Televisheni ya ITV kikiongozwa na mtangazaji mahili wa ITV Julieth Robert.…