1. SIFA ZA JOGOO BORA
- Awe na umbo kubwa
- Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja
- Awe mchangamfu
- Apende kuwa na himaya yake. Sifa hii utaigundua pindi ukimjazia wapinzani, atakuwa anapigana badala ya kufuata matetea.
2. SIFA ZA TETEA BORA
- Awe na umbo kubwa
- Awe na uwezo wa kuatamia
- Awe na uwezo wa kulea vizuri (high mothering ability)
- Aweze kutaga mayai ya kutosha.
[ad_2]