DONDOO ZA HOTUBA YA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI YA BAJETI YA MWAKA 2018/2019 MAKADIRIO YA ONGEZEKO LA MIFUGO TANZANIA
Katika mwaka 2018/2019, Wizara ilitarajia kukusanya kiasi cha shilingi 18,467,945,100. Hadi kufikia tarehe 15 Mei, 2019 kiasi cha shilingi 33,853,050,919 kimekusanywa na Wizara kutoka Sekta ya Mifugo sawa na asilimia 183.31 ya lengo la makusanyo.
Mchango wa kila chanzo kwa mwaka 2018/19 ni kama inavyoonekana hapa chini: