Ndugu wadau wa mifugo, kuna kundi la kilimo na mifugo limeanzaishwa likiwa na miezi miwili sasa. Lilianzia whatsapp lakini sasa lipo Teregram kwasababu Teregram inauwezo wa kuwa na wengi zaidi. Hivyo kama ungependa kuwa kwenye kundi kwa lengo la kushirikishana uzoefu na elimu ya kilimo na mifugo unaweza kujiunga kupitia

kiunganishi hiki  https://telegram.me/joinchat/CtMNGT5ydtVQz-bnNAT1kw

Cha kufanya nenda google play store download Teregram install kisha jiunge. Pia kuna Teregram ya laptop au desktop unaweza ku google na kudownload kisha instal na jiunge.

Link hii pia itakupa chaguo kama ujiunge au kama bado huna Teregram udownload. Kundi ni kwa mambo ya kilimo na mifugo tu na si vinginvy0. Masharti na taratibu kuzingatiwa. Karibuni sana.

 

Asante

 

Leave a Reply

error: Alert: Imezuiliwa !!