Ufugaji katika shamba la Rushu Ranchi Kisarawe

ByChengula

Oct 10, 2015 ,

 

Mmoja kati ya madume ya Ngombe wa nyama aina ya Borani yanayofungwa katika Rushu Ranchi
Afisa habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Fatma akijitambulisha kwa Wadau na Washiriki
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akielezea mafanikio na changamoto zilizopo katika Rushu Ranchi iliyopo Wilaya ya Kisarawe
Msajili wa Bodi ya Nyama Bi. Suzan Kiango akiongelea utunzaji wa nyama bora inapotoka machinjioni
Dkt. Herbert Lyimo Mkurugenzi wa Utafiti na Ugani akielezea tekinolojia mpya ya kielectroniki iliyoanza kutumika kusajili mifugo
Wadau na Washiriki wa Mkuatno huo wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Dkt. Hamisi Mkuli  Idara ya Ukuzaji viumbe kwenye maji (hayupo pichani)
Afisa Mifugo kutoka Wilaya ya Kisarawe akielezea mafanikio ya Rushu Ranchi pamoja na ushrikiano mzuri walionao na Wanakijiji
Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anusiata Njombe akijibu maswali yaliyoulizwa na Bw. Mapunda (hayupo pichani)
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akionesha mmoja wa ngombe wa nyama

 

 

 

Mfugaji kutoka Wilaya ya Rufiji Bw. Gumbo Matubuki akijitambulisha kwa Wahiriki wa Mkutano huo
Baadhi ya Ngombe Dume aina ya Borani katika Ranchi Rushu

 

 

 

 

Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anuciata Njombe akitembelea mifugo mbalimbali katika shamba la Rushu Rachi

 

 

 

 

 

Makundi mbalimbali ya mbuzi waliopo katika Rushu Ranchi
Chanzo: Blogu ya Habari Mifugo na Uvuvi

 

Leave a Reply