DARASA LA UFUGAJI
LISHE BORA ENDELEVU KWA MATOKEO BORA ZAIDI Mfugaji ili uwape kuku wako lishe bora yenye kuendelea, na ili upate matokeo bora zaidi katika ufugaji wako wa kuku basi yakupasa kuzingatia…
LISHE BORA ENDELEVU KWA MATOKEO BORA ZAIDI Mfugaji ili uwape kuku wako lishe bora yenye kuendelea, na ili upate matokeo bora zaidi katika ufugaji wako wa kuku basi yakupasa kuzingatia…
Habari za wakati huu wapendwa wasomaji wetu na wafugaji,leo ningependa kuwaalika kujifunza kitu kidogo kuhusu kuku chotara na tofauti yake na kuku 100% asilia. Kuku chotara hutaga mayai mengi zaidi…
Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufi kirie yafuatayo:- a) Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua vifaranga wako mara kwa mara. b) Ijengwe hatua…
LISHE YA KUKU: Ili kuku waweze kuishi, kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula kingi na chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa lishe ya kuku…
Ugonjwa ni nini? Ugonjwa ni mabadiliko kutoka katika afya ya kawaida ya mnyama/kuku. Hali hii hutokea pale vimelea au vijidudu vinapoingia mwili wa mnyama, kwa kula vyakula vyenye sumu, au…
1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa hii utaigundua pindi ukimjazia wapinzani, atakuwa…
*Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili(2) na Upana wa mita moja(1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo.*Kinakachofanyika katika…
Click link hii ili Uifunze hapa umuhimu wa usalama wa mazingira ya kufugia samaki (Biosecurity). Kutokana na kuongezeka kwa Magonjwa ya Samaki katika nchi zinazotuzunguka zikiwemo Congo, Zambia, Msumbiji, Namibia,…
Click link hii ili Uifunze hapa umuhimu wa usalama wa mazingira ya kufugia samaki (Biosecurity). Kutokana na kuongezeka kwa Magonjwa ya Samaki katika nchi zinazotuzunguka zikiwemo Congo, Zambia, Msumbiji, Namibia,…
KIBANDA CHA KUFUGIA Tunasaidia kwenye ujenzi wa vibanda bora vya sungura, kwagharama ya Tshs 65,000/= tu kwa kimoja cha ukubwa wa futi 2.53 , chenye uwezo wa kufugia Sungura mmoja…
Kuku wa mayai ili watage vizuri wanatakiwa walishwe chakula bora kwa utaratibu unaotakiwa, ukiwazidishia au kuwaongezea hawatotaga vizuri. Wanatakiwa walishwe kati na kati kulingana na umri kama ifuatavyo:- UMRI WA…
Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogo wadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogo wadogo, wanaotumia njia za kiasili…
UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya…
Na Martin Mhina Nigusie mbinu kadhaa za ufugaji bora wa kuku (a) Jinsi ya kutengeneza mchwa ili kupata protini ya ziada Fuata hatua zifuatazo 1: Changanya kinyesi kikavu cha ngo’mbe…
Kuku wanahitaji kujengewa banda ili wasiathiriwe na madhara mbali mbali kama wanyama wakali, wezi na mabadiliko ya hali ya hewa. Vile vile banda bora hurahisisha kazi ya utunzaji. Mahali pa…
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kujenga nyumba ya vifaranga Unapo jenga nyumba ya vifaranga itafaa ufikirie yafuatayo:- Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua…
SIFA ZA JOGOO NA TETEA BORA 1. SIFA ZA JOGOO BORA Awe na umbo kubwa Awe na ukiko nzuri usioangukia upande mmoja Awe mchangamfu Apende kuwa na himaya yake. Sifa…