Zifahamu taratibu na ratiba za uchanjaji wa kuku kuanzia vifaranga na kuku wakubwa
TARATIBU NA RATIBA ZA UCHANJAJI Wakati wa kutayarisha mpango wa kuchanja kuku kwa ajili ya kinga dhidi ya magonjwa, kuna vipengele vikuu sita Ambavyo unatakiwa uvifahamu na kuvizingatia. Vipengele hivyo…
