Kwa nini kuku hudonoana manyoya na ngozi?
Kujazana Kuku wakijazana kwenye banda lenye nafasi ndogo huanza tabia ya kudonoana. Kuboreka Kuku hupenda kuparuaparua na kuzunguka zunguka. Wakikosa nafasi na vitu vya kudonoa donoa huanza kudonoana wenyewe kwa…