App ya Tovuti ya Ufugaji inapatikana Google Play store bure
Ndugu wadau wa mifugo na wafuatilia wa Tovuti ya Mifugo, sasa unaweza kusoma machapisho yote ya tovuti hii kupitia simu yako ya kiganjani kwa njia ya app inayopatikana Google Play…
Ndugu wadau wa mifugo na wafuatilia wa Tovuti ya Mifugo, sasa unaweza kusoma machapisho yote ya tovuti hii kupitia simu yako ya kiganjani kwa njia ya app inayopatikana Google Play…
Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya nguruwe ambayo haina kinga wala tiba.…
UPUNGUZAJI WA MIDOMO YA KUKU Maana. Ni uondoaji/ukataji wa sehemu ya ncha ya mbele kwenye upande wa juu na wa chini wa mdomo wa kuku. Kwa nini kuku hupunguzwa mdomo?…
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kufuga vifaranga vya umri wa siku moja kwa kuogopa kwamba vifaranga vinakufa sana. Kuna sababu nyingi zinazofanya vifaranga wafe. Kubwa kati ya hizo ni: WANAPOTOTOLESHWA. UANGALIZI…
UMUHIMU WA UFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA KWA BINADAMU Huongeza kipato (Familia Vs Taifa). Chanzo cha ajira. Huboresha lishe kwa binadamu. Huongeza upatikanaji wa mbolea (20kg/siku/ng’ombe). Rafiki wa mazingira. Huongeza…
Kwa kawaida Tetea anatumia muda wa masaa 24 – 27 (siku moja) kutengeneza yai. Hakuna njia ya kupunguza muda huu (yaani atengeneze mayai miwili katika siku moja). Hiyo ndio asili…
MAKALA KUPITIA KIPINDI CHA IJUE SUA ZINAZORUSHWA SIKU YA JUMANNE SAA 12.30 ASUBUHI NA MARUDIO SIKU YA IJUMAA SAA 12.45 JIONI KUPITIA KITUO CHA RADIO SUAFM. FUATILIA MAKALA YA LEO…
FUGA SAMAKI KWA KIPATO ENDELEVU NA CHAKULA BORA UTANGULIZI Ufugaji wa samaki unafaida zifuatazo: huongeza kipato kwa wakulima, hurahisisha upatikanaji wa chakula hasa chakula aina ya protini,unapunguza kasi kubwa ya…
Kujazana Kuku wakijazana kwenye banda lenye nafasi ndogo huanza tabia ya kudonoana. Kuboreka Kuku hupenda kuparuaparua na kuzunguka zunguka. Wakikosa nafasi na vitu vya kudonoa donoa huanza kudonoana wenyewe kwa…