MRADI WA UFUGAJI SUNGURA KIBIASHARA.
KIBANDA CHA KUFUGIA Tunasaidia kwenye ujenzi wa vibanda bora vya sungura, kwagharama ya Tshs 65,000/= tu kwa kimoja cha ukubwa wa futi 2.53 , chenye uwezo wa kufugia Sungura mmoja…
KIBANDA CHA KUFUGIA Tunasaidia kwenye ujenzi wa vibanda bora vya sungura, kwagharama ya Tshs 65,000/= tu kwa kimoja cha ukubwa wa futi 2.53 , chenye uwezo wa kufugia Sungura mmoja…
Ufugaji wa nyuki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato cha ziada kwa wakulima wadogo wadogo. Uzalishaji wa asali nchini Tanzania umekuwa ukitegemea sana wafugaji wadogo wadogo, wanaotumia njia za kiasili…
UTANGULIZI Kabla hujaamua kufuga sungura hakikisha ya kwamba umejitoa na una muda wa kuwahudumia wanyama waha, ufugaji wao si rahisi kama vile ukifuga paka au mbwa, sungura wanahitaji uangalizi na…
Imeandikwa na mhariri wa Habari Leo IMECHAPISHWA: 07 AGOSTI 216 MAONESHO ya wakulima ya Nanenane yaliyoanza wiki iliyopita, yanatarajiwa kufikia kilele chake kesho katika Kanda mbalimbali nchini, huku yale ya…
BIASHARA YA MAZAO YA NG’OMBE DUNIANI Mazao makuu ya ng’ombe (cattle) ni: (i) NYAMA: beef (adult cattle) na veal (calves) na sehemu nyingine za ng’ombe zinatumika kwa chakula; (ii) MAZIWA…
Huduma za ugani hutolewa na wataalam wa mifugo wa Serikali wa Halmashauri, pamoja na sekta binafsi katika kliniki na vituo vya mifugo. Huduma zinazotolewa na Wataalamu wa Mifugo wa Serikali:-…
Na Michael Ngonyani Hydroponics ni utaratibu wa kuotesha mimea kwa kutumia maji bila kuhusisha matumizi ya mchanga kabisa, isipokuwa mimea inaoteshwa katika chombo maalum ‘tray” ambacho kipo katika hali ya…
Hotuba ya Bajeti Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa na Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), Katika kipindi cha mwaka wa fedha 2015/2016 inapatikana hapa Hotuba-ya-Bajeti-2016-17. Wizara ya…
Kikundi cha ulinzi wa jadi kinachoundwa na wakulima maarufu kama Mwani, kinadaiwa kuvamia nyumba ya mfugaji mmoja wa jamii ya Kimasai katika kijiji cha Kambala, wilayani Mvomero, mkoa wa Morogoro…
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA UTANGULIZI KUHUSU UFUGAJI KWA UJUMLA KANUNI ZA UFUGAJI BORA TANZANIA UFUGAJI WA NYUKI TANZANIA MIPANGO THABITI YA KUMLETEA MAFANIKIO MFUGAJI MISINGI YA UFUGAJI KIINI CHA…
VIUNGANISHI VYENYE MAELEZO YA KINA HOMA YA BONDE LA UFA (RIFT VALLEY FEVER) UGONJWA WA KICHOCHO-BILHARZIA (SCHISTOSOMOSIS) UGONJWA WA UKURUTU WA MIFUGO NA BINADAMU UMUHIMU WA CHANJO KWA MIFUGO KUKABILIANA…